Sheria na neema ni vitu viwili tofauti kabisa na wala haviwezi kuchangamana. Ni kama mafuta na maji ambao huwezi kuyachanganya.
Watu waliochini ya sheria wanachanganya sheria na neema wakikana kwamba wokovu haupatikani kwa neema, wanadhani kwamba kuokoka kunatokana matendo ya sheria.
Wagalatia 2:21 "Siibatili neema ya Mungu; maana, ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure."
Waefeso 2:8-9 "Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu;"
HITIMISHO: Tumeokolewa kwa neema wala si kwa atendo yetu hivyo hakuna haja ya mtu kujisifu kwa wokovu alionao. Ili kuondoa mkanganyiko tafuta somo liitwalo TUKIOKOKA TUKO MBALI NA DHAMBI, kwa kufuata link hapa chini.
.....................................................................
Je, unataka kuokoka?
Tuma neno "NATAKA KUOKOKA" kwa SMS au WhatsApp kwa +255625966236
Tuma neno "NATAKA KUOKOKA" kwa SMS au WhatsApp kwa +255625966236
KWA MAFUNDISHO TEMBELEA;
HII NI INJILI HALISI MINISTRY, KWA MAWASILIANO +255 621 261 295
No comments: