» »Unlabelled » 1 Timotheo 6:11-12


1 Timotheo 6:11-12 “Bali wewe, mtu wa Mungu, uyakimbie mambo hayo; ukafuate haki, utauwa, imani, upendo, saburi, upole.Piga vita vile vizuri vya imani; shika uzima ule wa milele ulioitiwa, ukaungama maungamo mazuri mbele ya mashahidi wengi."
Tunapoliishi Neno la Mungu, kutii amri, tunakuwa tunapigana "Vita vizuri vya Imani" katika Kristo. Tunatafuta haki, utakatifu, imani, upendo, uvumilivu, upole na kuishi kwetu Kuna kuwa kwa lengo la kuupata uzima wa milele mbinguni.
Kuna chochote katika maisha yetu kinatuweka mbali na Mungu hata kufanya tusiuwaze ufalme wa Mungu kwanza? Kama kipo tunapaswa tutubu dhambi zetu, tufanye mabadiliko katika maisha yetu na kuishi maisha yanayompendeza Mungu, maisha ya utakatifu na haki.
Mungu Akubariki!!
.............
Je, unataka kuokoka?
Tuma neno "NATAKA KUOKOKA" kwa SMS au
WhatsApp kwa +255625966236
KWA MAFUNDISHO TEMBELEA;
Facebook: Injili Halisi Ministry
🔗zakachekainjili.blogspot.com
💕 Sharing is Caring💓

Pakua App Ya Injili Halisi -Bofya Hapa Flower
HII NI INJILI HALISI MINISTRY, KWA MAWASILIANO +255 621 261 295

About INJILI HALISI MINISTRY

Zachary, most known as Zakacheka is the founder of the Injili Halisi Ministry. He is a member of Full Gospel Bible Fellowship Church.. He lives in Mwanza,Tanzania. 0621261295.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply