» » YESU SIYO MWIZI


“Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku.” (1 Wathesalonike 5:2)
Je, Yesu ni kama mwizi Usiku? O hapana! Hii inakuwaje sasa?
Tofauti kati ya mwizi na Yesu ni hii: Mwizi huja muda usiotarajiwa kuchukua kile kisicho chake. Lakini Yesu atakuja muda usiotarajiwa kuwachukua walio wake!
“Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja." (Mathayo 24:44).
Jiweke tayari muda wote
Yesu anakuja punde.
Mungu akubariki!!
REINHARD BONNKE
...................
Je, unataka kuokoka?
Tuma neno "NATAKA KUOKOKA" kwa SMS au WhatsApp kwa +255625966236
KWA MAFUNDISHO TEMBELEA;
🔗zakachekainjili.blogspot.com
💕 Sharing is Caring💓

Pakua App Ya Injili Halisi -Bofya Hapa Flower
HII NI INJILI HALISI MINISTRY, KWA MAWASILIANO +255 621 261 295

About INJILI HALISI MINISTRY

Zachary, most known as Zakacheka is the founder of the Injili Halisi Ministry. He is a member of Full Gospel Bible Fellowship Church.. He lives in Mwanza,Tanzania. 0621261295.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply