» » MBINU ZA KUPAMBANA NA MAADUI



Tai hapigani na nyoka ardhini.

Humchukua juu mpaka  mawinguni kisha humuachia. Kwa kuwa nyoka hana stamina, hana nguvu na hana balance akiwa hewani. Hawezi fanya lolote, ni dhaifu tofauti na akiwa ardhini huwa ni mjanja, mkali na mwenye nguvu sana.

Adui akikuijia katika ulimwengu wa mwili, Pigana vita vyako katika ulimwengu wa roho kwa maombi na unapoingia katika vita ya kiroho Mungu huingilia kati na Kupigana kwa ajili yako.
Usipigane na adui katika mazingira aliyoyazoea, badilisha mazingira kama tai afanyavyo na acha Mungu ashughulike wakati wewe ukiomba.

Ukweli wa biblia
Kutoka 14:14 “Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”

Zaburi 35:1  “Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.”


Unataka kuokoka?     Tuma ujumbe kwa WhatsApp au sms kwa namba 0625966236 ukianza na neno "NATAKA KUOKOKA"

Pakua App Ya Injili Halisi -Bofya Hapa Flower
HII NI INJILI HALISI MINISTRY, KWA MAWASILIANO +255 621 261 295

About INJILI HALISI MINISTRY

Zachary, most known as Zakacheka is the founder of the Injili Halisi Ministry. He is a member of Full Gospel Bible Fellowship Church.. He lives in Mwanza,Tanzania. 0621261295.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply