» »Unlabelled » TUNAPATAJE WOKOVU?




www.zakachekainjili.blogspot.com
Na Mwinjilisti Zachary John Bequeker
Tunapokea wokovu kwa njia ya imani. 
Neno la Mungu linasema katika WARUMI 10:9-10 "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu."

Sasa kama uko tayari fuatisha sala hii kutoka moyoni ukiwa mahali umetulia. Nakuhakikishia kwamba ukifuatisha sala hii kwa kumaanisha kutoka moyoni , utaona badiliko ndani ya moyo wako mara tu baada ya kusema Amen.
Sema maneno haya "BWANA YESU NAKUJA MBELE ZAKO MIMI NI MWENYE DHAMBI NAHITAJI MSAMAHA WAKO. FUTA JINA LANGU KATIKA VITABU YA HUKUMU NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA WA MILELE. NIOSHE KWA DAMU YAKO ILIYOMWAGIKA PALE MSALABATI NIWE KIUMBE KIPYA KUANZIA SASA. NIPE UWEZO WA KUYATENDA MAPENZI YAKO KUANZIA SASA KATIKA JINA LA YESU_____AMEEEEN!"
Sasa umeokoka ili kudumu katika imani tafuta kanisa linalohubiri kweli.
Je, umefuatisha sala hii? Kama ni ndiyo bonyeza neno hili<<<NDIYO>>>  

KWA MAWASILIANO: +255 625 966 236 / +255 758 590 489

Pakua App Ya Injili Halisi -Bofya Hapa Flower
HII NI INJILI HALISI MINISTRY, KWA MAWASILIANO +255 621 261 295

About INJILI HALISI MINISTRY

Zachary, most known as Zakacheka is the founder of the Injili Halisi Ministry. He is a member of Full Gospel Bible Fellowship Church.. He lives in Mwanza,Tanzania. 0621261295.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply