hawavuni lakini Bwana huwalisha hao
ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa
mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?”
wa kusahauliwa
hawauzwi kwa senti moja? Wala hata mmoja haanguki chini asipojua Baba yenu;30
lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. 31 Msiogope basi;
bora ninyi kuliko mashomoro wengi.”
kubwa mbele za Mungu kuliko ndege
atakupigania
kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, na Mungu huwalisha.
Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!”
sasa umesahau kwamba Mungu ana uwezo wa kuangalia mambo yako ? kumbuka yeye
ndiye aliyekuumba. Mateso yako yote ameyaona na anataka ayaondoe.
tamaa na unawaza kuanguka dhambini.
akunase kama ndege, Mungu ameiona mitego hiyo yote ya adui katika afya yako,
biashara yako, huduma yako, sasa anaenda kuitegua na kukuweka huru.
+255673590489
zacharybequeker@gmail.com
MAFUNDISHO ZAIDI TEMBELEA BLOG HII: www.zakachekainjili.blogspot.com YOUTUBE: Zachary John Bequeker